WEMA SEPETU AMLILIA MUNGU WAKE KUHUSU AIBU ALOFANYIWA NA DIAMOND......ANADAI SIKU AKIFA TUTAMKUMBUKA
Wema Sepetu anaonekana kuumizwa
sana na kitendo cha Diamond kumrekodi wakati anajitongozesha
kwake usiku alipokuwa na mpenzi wake Penny....
Walipomrekodi, waliisambaza clip hiyo mitandaoni na katika vituo kadhaa vya redio.....
Hii ni fedheha ambayo nadhani Wema Sepetu hataisahau maishani mwake ....
No comments:
Post a Comment