Friday, December 7, 2012

MAONI YA KATIBA ZNZ



Yajue maoni ya katiba mpya asubuhi ya leo shehia ya kikwajuni.

Wananchi waliotaka Zanzibar huru kitaifa na kimataifa ikifuatiwa na muungano wa mkata kati yake na Tanganyika ni 45.
Na wananchi waliotaka mfumo huu wa muungano uliopo uendelee ni 47
Na Wananchi wasiofahamika utowaji wao wa maoni ni 3

No comments:

Post a Comment