Baraza la habari tawi la Zanzibar lakutano kujadili kuhusu ukiukwaji wa vyombo vya habari
1 Vote
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda akitoa hotuba ya
Ufunguzi wa Mjadala wa Waandishi wa Habari kuhusu Ukiukwaji wa Uhuru wa
Vyombo vya Habari,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Habari Maelezo
Kikwajuni Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment