Tatizo
kubwa lililokuwa likiwakabili Wazanzibar hususani wakaazi wa kisiwa
cha Pemba kwa kutokuwepo kwa usafiri wa hakika wa baharini linatarajiwa
kumalizika hivi karibuni baada ya kampuni ya Azam Marine kuzinduwa rasmi
meli yake mpya ya Sealink 1 ambayo hivi asubuhi yaleo wameanza
kuijaribu gati yao waliojenga kwa ajili ya meli hio hapo malindi mjini
unguja.
Meli hio inatarajiwa kuanza safari yake hivi karibuni baada ya
kumalizika hatuwa zote zinazohitajika ili kuwezesha meli hio kufanya
kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuwaondoshea wazanzibar.
MELI MPYA YA ZAMA MARINE SEALINK 1
No comments:
Post a Comment