Saturday, December 22, 2012

RAIS KIKWETE APONGEZWA NA WASANII WAKONGWE KWA KUWAJALI KWAO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Desemba 21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu
uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam kwa kuwajali wasanii wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa wasanii
ambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati Marijani Rajabu.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wakongwe Tanzania
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wakongwe Tanzania

No comments:

Post a Comment