Thursday, January 3, 2013

Maalim Seif afungua Rasmi kombe la Mapinduzi Jana

Rate This

Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif akikagua timu ya Simba wakati wa ufunguzi wa kombe la Mapinduzi

Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif akikagua timu ya soka ya Jamuhuri wakakti wa ufunguzi wa kombe la mapinduzi jana usiku

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikagua kikosi cha Jamhuri kilichopambana na timu ya Simba katika ufunguzi wa kombe la Mapinduzi “Mapinduzi Cup 2013” uwanja wa Amaan. Katika pambano hilo Simba ilianza vizuri kwa kuifunga Jamhuri (4-2).
4. Mtanange wa ufunguzi wa “Mapinduzi Cup” baina ya Simba na Jamhuri ukiendelea katika uwanja wa Amaan jana usiku. Katika pambano hilo Simba ilianza vizuri kwa kuifunga Jamhuri (4-2). 

Picha na Salmin Said, OMKR

No comments:

Post a Comment