Taarifa zilizotufikia ni kwamba
jengo lenye ghorofa 16 lililokuwa bado linaendelea kujengwa katika
makutano ya barabara ya Indira Gandhi na Morogoro jirani na Burhani
limeanguka. Inasemekana katika jengo hilo kulikuwa na watu takribani 60
ambao wanahofia kupoteza maisha. Taarifa kamili zitawajia hivi punde.
Waokoaji bado wanaendelea na shughuli za uokoaji
Moja kati ya magari yaliyokuwa eneo hilo likiwa limeangukiwa na mabaki ya jengo hilo.
Trekta likiondoa kifusi eneo la ajali.
Miongoni mwa watu waliohudhuria katika ajali hiyo kwa ajili kutoa msaada
No comments:
Post a Comment