18 Mei, 2013
Wakati wanajeshi wa Nigeria
wanaendelea na operesheni yao dhidi ya wapiganaji wa Kiislamu kaskazini
mashariki mwa nchi, Marekani imesema ina wasiswasi sana kuhusu raia
katika eneo hilo.
Bwana Kerry alisema hayo yatazidisha ghasia na kuchochea msimamo mkali.
Nigeria inafanya mashambulio dhidi ya kundi la wapiganaji wa Kiislamu, Boko Haram, katika majimbo matatu ya kaskazini-mashariki.
No comments:
Post a Comment