12 Mei, 2013
Waendesha mabasi nchini Somalia
wamegoma kwa siku ya pili kwa sababu wanasema inabidi wawalipe rushwa
wanajeshi wa serikali na polisi katika vituo vya ukaguzi.
Kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini Somalia, AMISOM, kimeingilia kati kujaribu kutatua mkwamo huo.
Msemaji wa polisi ameiambia BBC kwamba wanachunguza malalamiko hayo lakini hawana habari kwamba askari polisi wanadai hongo.
No comments:
Post a Comment