Friday, November 9, 2012

ASSALAM ALAYKUM
 Naaza kwa jina la ALLAH(SW) Mwingi wa Rehma na  mwenye kurehemu:
Natoa shukurani zangu za dhati kwa ALLAH(SW) ambae ametuumba sisi tukiwa ni  binadamu, pia ninatoa shukurani kwake kutujaalia dini ya UISLAM dini ambayo amesema katika Qur-an (Al-imraan 19)

3:19
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.Na aya nyingine ALLAH (SW) anasema "Hakika dini mbele ya ALLAH ni UISLAM na mwenye kufuata dini isiyokuwa ya UISLAM Siku ya Qiyama atakuwa mwenye hasara.
Ndugu zangu sina Elimu ya dini wala ya dunia lakini ALLAH akipenda tutazidi kufikishiana kwa kile ambacho ALLAH atatujaalia. 
Kama ALLAH alivyotwambia tukumbushane (Al-a'ala 9)




 
 
87:9
Sahih International
So remind, if the reminder should benefit;
Swahili
Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa.
    
Add caption

1 comment: