ASSALAAM ALAIKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH
Kwa wale ndugu zangu katika Iman tumshukuruni ALLAH(SW) kwa kutujaalia kuamka salama katika asubuhi hii hatunabudi kuzidisha shukurani hizi pia kwa kutujaalia kuwa WAISLAM na tuzidi kumuomba ALLAH(SW)
kwani yeye ndiye mpangaji wakila kitu, Jingine la kunshukuru ALLAH(SW) ni kutujaalia ktufikisha katika siku hii tukufu na adhimu, na sikukuu ya WAISLAM,(Ijumaa),
Siku ya Ijumaa ni siku adhim sana kwa kila alie muislamu hatuna budi kuzidisha Ibada kwa wingi na Kusoma Qur-ani hasa Suratul-Kahf
************IJUMAA QKREEM**************
No comments:
Post a Comment