DU!!, TUMCHENI ALLAH JAMANI!!!
Ewe muislamu na usiekuwa muislamu kumbuka mimi na wewe tunakula kwa raha tunacheka na kufurahia maisha ila wenzetu huk palestine wanaandmwa na utawala wa kizayuni wa izraeil,wakisaidiwa na wamarekani,kila unaposali tafadhali omba dua kwa ajili yao na sisi tulobakia allah atupe nguvu ya kuwashinda maadui, shea kila uipatapo hii tafadhali
HALI YA MAUWAJI YANAYOFANYIKA GAZA KWA KISINGIZIO CHA WAISLAMU NA UGAIDI IVI JIULIZE WATOTO HAWA KWELI NI MAGAIDI AU WAMEHUSIKA VIPI NI MATENDO YA UGAIDI KAMA SI UWONEVU NININI HILI JAMANI.
No comments:
Post a Comment