Sunday, November 18, 2012

MTANGAZAJI AFARIKI DUNIA GHAFLA

NA HAMED MAROUY

MTANZANIA AMBAE ANATANGAZIA BBC AFARIKI DUNIA GHAFLA

Jina lake halisi ni Fred alianza kazi ya utangazaji katika Radio Tanzania kabla ya kwenda ulaya kwa ajili ya kujisomea zaidi wakati akiwa nchini humo kwa ajili ya masomo pia alipata nafasi ya kufanya kazi katika kituo cha radio cha BBC marehemu alikuwa anasoma shahada ya mastar ya digital media katika chuo kikuu kimoja nchini humo.

Pia marehemu aliweza kushiriki katika vipindi muhimu na vilivopata sifa hasa vile vipindi vya sanaa,utamaduni kutokana na marehemu huyo kufahamiana sana na waafrica wananoishi ulaya aidha marehemu huyo alishiriki pia katika matangazo ya kawaida ya habari ya idhaa ya kiswahili kwa vile alikuwa mweledi mzuri wa lugha hio.

kwa upande wao wafanya kazi wenzake hawakusita kutoa shukrani zao kwake wanasema watamkumbuka daima kutokana na kupenda kwake kazi pia zaidi ni kutokana na kifo hicho kimemtokezea ghafla mwenzao,hadi hivi sasa juhudi za kumrudisha Tanzania zinafanyika.

BBC SWAHILI.
— with Sujae Sijauma Mkiji and 14 others.

No comments:

Post a Comment