Anaswa na mke wa mtu wamegandana je afanyweje mtu kama huyu?
Kwa mujibu wa sheria ya KIISLAM, mtu kama huyu anatakiwa achimbiwe shimo baadae atiwe humo kisha apigwe mawe hadi kufa kwake.
Kwa upande wako wewe kama Muislam umelichukuliaje jambo hili?
No comments:
Post a Comment