Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Viongozi wa Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta cha Chwaka na
wananchi wa kijiji hicho, wakati alipofika katika kituo hicho leo
Desemba 24, 2012 kwa ajili ya kujionea maendeleo ya kituo hicho, akiwa
ameongozana na mkewe Mama Asha Bilal.
No comments:
Post a Comment