Monday, December 3, 2012

MATOKEO YA UKUSANYAJI WA MAONI JUU KATIBA MPYA


Matokeo ya ukushanyaji wa maoni juu katiba mpya shehia ya magogoni

 
 
 
 
 
 
Rate This

Kufuatia utowaji wa maoni juu ya katiba mpya asubuhi ya leo huko katika shehia ya Magogoni wilaya ya mjini unguja,wananchi waliotaka Zanzibar huru ikifuatiwa na muungano wa mkataba kati yake na Tanganyika ni 61.
Na waliotaka muungano huu uliopo kati ya Zanzibar na Tanganyika uendelee kama ulivo ni 33.
Mwananchi akitoa maoni yake huko magogoni Zanzibar

No comments:

Post a Comment