
Naibu
Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB
Mkwizu (wa pili kutoka kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na
washiriki wa mafunzo ya taratibu za nidhamu katika Utumishi wa Umma
yaliyoandaliwa na Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma mjini
Dodoma hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment