WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKIPATA MAELEZO YA SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA OFISI YA RAISI
Waziri
Mkuu Mh.Mizengo Pinda (kushoto) akipata maelezo ya shughuli
zinazofanywa na Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi Siku
ya Maadhimisho ya Haki za Binadamu na Maadili yaliyofanyika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment