Rais Kikwete akabidhiwa Hati ya Bima yake ya Maisha Ikulu jijini.
Pichani
Juu na Chini Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya
maisha baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Bima la Taifa Bw. Justine Mwandu leo Ikulu jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment