Jengo jipya la kituo cha kukusanyia matangazo ya Vituo vya matangazo ya Dijitali ambalo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein anatarajia kulifungua rasmi Januari 8 ikiwa ni shamra shamra ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar
No comments:
Post a Comment