wanamtaka dereva wa Bodaboda hiyo apange foleni kama walivyo panga wengine kwa kusubiria abiria
wanadai asipakie abiria mpaka nyingine zipakie.
wengine wagombana kuhusu tukio hilo lililotokea mchana huu kuhusu malumbano ya Dereva huyo wa Bodaboda
By Hamad Saleh
hamadswaleh@gmail.com.
No comments:
Post a Comment