Tuesday, January 8, 2013

Raisi wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein azindua rasmi majengo ya kuendeshea matangazo


 Jengo jipya la kurushia matangazo kupitia mfumo mpya wa digitali liliopo Rahaleo mjini Unguja


Raisi amezindua rasmi majengo mawili moja ni la kuendeshea matangazo ya Digital na moja ni kwa ajili ya studio mpya  ya kisasa yenye lengo la kurikodia filamu na muziki kwa wasanii wa Zanzibar







 Jengo jipya la kurushia matangazo kupitia mfumo mpya wa
 digitali liliopo Rahaleo mjini Unguja

No comments:

Post a Comment