BARABARA
ya Mizingani – Wambaa Wilaya ya Mkoani Pemba, ambayo kwa sasa
imeshakamilikia kwa kiwango cha lami, ikiwa ni moja kati ya matunda ya
Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964
BARABARA
ya Chanjamjawiri – Tunandauwa Wilaya ya Chake chake Pemba, ikiwa
imeshakamilika kwa kiwango cha lami, na kwa sasa wananchi wakiitumia kwa
shughuli zao mbali mbali za kimaendeleo, ambayo hii ni moja kati ya
matunda ya Mapinduzi ya Zanzibra ya mwaka 1964 (picha na Haji Nassor,
Pemba)
No comments:
Post a Comment