2013
Imewekwa na Hamed Mazrouy
Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif akisalimiana na viongozi mbali mbali waliofika kumpokea
Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akisalimia na
Mwakilishi wa Jimbo la Mjimkongwe Mh, Ismail Jussa Ladhu pamja na Katibu
Mkuu wake Dr:Omar Dadi Shajak na Vionozi wengine mbali mbali mara
baada ya kuwasili katikaUwanja wa ndege wa kimataifa Zanzibar Abeid
Amani Karume akitokea matibabuni nchini India
No comments:
Post a Comment