
O'brien anasema atapinga vikali tuhuma dhidi yake
Mmoja wa mapadre
waandamizi wa kanisa katoliki nchini Uingereza amejiuzulu wadhifa wake
kufuatia shutma za kwamba alikwenda kinyume na matakwa ya kipadre mapema
miaka ya themanini.
Kardinal Keith O'Brien ameachia madaraka kama
kiongozi mkuu wa kanisa katoliki nchini Scotland na hatarajii kusafiri
kwenda Vatican baadaye mwaka huu kumchagua Papa ajaye baada ya baba
Mtakatifu Benedict wa 16 kijuzuru.Inaarifiwa Padre O'Brien aliwauvinjia heshima makasisi mingo mitatu iliyopita.
Hata hivyo, mwishoni mwa wiki, alisema kuwa anapinga vikali madai hayo.
Duru zinasema kuwa hatua ya kujizulu kwa padre huyo kunaongeza shinikizo kwa makadinali wengine wanaokabiliwa na tuhuma za walivyoshughulikia kashfa za ngono
No comments:
Post a Comment