26 Februari, 2013 - Saa 11:35 GMT

Jeshi la Marekani
Wanajeshi wa jeshi la wanamaji
la Marekani, wamekubali mashtaka ya kumbaka mwanamke mmoja katika kesi
ambayo imeibua hisia kali dhidi ya Marekani.
Wanaume hao. Wal;imvamia mwanamke huyo, wakati
wa ziara yao fupi katika kisiwa cha Okinawa, makao kwa kambi kubwa ya
jeshi la Marekani barani Asia.Sheria ya kutotoka nje iliyowekewa wanajeshi karibu elfu hamsini kufuatia tukio hilo Okotoba mwaka jana
Kumekuwa na hali ya wasiwasi kati ya majeshi ya Marekani na wenyeji wa Okinawa.
Manamo mwaka 1995, genge la wanajeshi wa Ulaya, lilimvamia na kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12 na kuzua maandamano makubwa.
No comments:
Post a Comment