Monday, March 25, 2013

Mvua yasababisha kizaazaa Dar

Share bookmark Print Email Rating
 
Na Waandishi Wetu, Mwananchi  (email the author)

Posted  Jumapili,Marchi24  2013  saa 23:35 PM
Kwa ufupi
  Mvua kubwa iliyonyesha jana jijini Dar es Salaam, ilisababisha mafuriko makubwa katika baadhi ya maeneo, hivyo nyumba kadhaa kujaa maji na baadhi ya watu kulazimika kuyahama makazi yao.
Mvua kubwa iliyonyesha jana jijini Dar es Salaam, ilisababisha mafuriko makubwa katika baadhi ya maeneo, hivyo nyumba kadhaa kujaa maji na baadhi ya watu kulazimika kuyahama makazi yao. Mafuriko hayo yaliyosababishwa na mvua iliyoanza kunyesha muda wa asubuhi, pia yalisababisha hasara kubwa kutokana na vitu na mali mbalimbali kusombwa na maj

No comments:

Post a Comment