17 Machi, 2013 - Saa 14:49 GMT
Mahakama makuu ya mjini
Mogadishu Somalia yamemwaachilia huru mwandishi wa habari ambaye
alifungwa kwa sababu ya kumhoji mwanamke aliyesema amebakwa.

Mwanamke huyo piya alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja lakini kesi yake ilifutwa kwenye rufaa awali mwezi huu.
Jaji wa mahakama makuu - Aidid Abdulahi Ilkahanaf - alisema mashtaka yote dhidi ya mwandishi huyo wa habari sasa yamefutwa.
No comments:
Post a Comment