Ufaransa imetangaza kuwa mwanajeshi wake mwengine ameuwawa kwenye mripuko kaskazini mwa Mali.
Huku nyuma mawaziri wa nchi za kanda hiyo
wamekutana mjini Nouakchott, Mauritania, kujadili swala la Mali wakiwa
pamoja na waakilishi wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika, na Umoja wa
Ulaya.
Mwanajeshi huyo aliyeuwawa ni askari wa tano wa Ufaransa kufa kwenye vita dhidi ya wapiganaji.
No comments:
Post a Comment