28 Aprili, 2013 - Saa 16:51 GMT
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini
na waziri mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Nicolas Tiangaye,
wamekutana mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria, na wamekubaliana
kuzidisha uhusiano baina ya nchi mbili hizo.
Vyombo vya habari vya Afrika Kusini viliarifu kuwa wanajeshi hao walipelekwa huko ili kampuni za biashara za Afrika Kusini zipate kandarasi za madini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Wakuu wa Afrika Kusini walikanusha hayo.
No comments:
Post a Comment