Thursday, November 15, 2012

AJALI YAUA MMOJA (ZNZ)



   HOSPITALI YA MNAZI MMOJA (ZNZ)


NA MWANDISHI WETU; HAMED MAZROUY

AJALI MBAYA YA GARI YAUWA ZANZIBAR NA KUJERUHI WATU KADHAA INAAMINIKA KUWA MIONGONI MWA WALIOPATA MAJERAHA KUTOKANA NA AJALI MMOJA WAO AMBAE NI MWANAMKE AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA MJINI UNGUJA.


MAMA HUYO AMBAE ALIKUWA NA MTOTO WAKE WALIJERUHIWA PAMOJA NA MCHOMA MAHINDI KATIKA ENEO HILO KWA KUANGUKIWA NA NGUZO ILIYOGONGWA NA GARI HIO

LAKINI KWA MSAADA WA RAIA WEMA WALIOKUWEPO MAENEO HAYO WALIWEZA KUWAKIMBILIZA KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA KWA AJILI YA MATIBABU ZAIDI AMBAPO MMOJA YA MAJERUHI HAO TAYARI AMEFARIKI DUNIA KWA SASA

INASEMEKANA KUWA GARI HIO AMBAYO ILIKUWA INATEMBEA KWA KASI ILIGONGA NGUZO MAENEO YA DARAJANI STENDI YA SHAMBA KARIBU NA KITUO CHA MAFUTA CHA MALINDI

No comments:

Post a Comment