Kijana mwenye umri wa miaka 28 mkaazi wa Tabata Kimanga Jijini Dar es Salaam, amenusurika kuuawa baada kushingiziwa kuwa ni mwizi na hali ya kuwa sio ukweli, baada ya kuongea na AL-IMAN katika kufuatilia taarifa hiyo, ambapo kijana huyo tulianza kunuhoji ili kutupa ushahidi wa kutosha kuhusiana na tukio hilo. Watu wengi walikaribia katika eneo hilo na wengine wakiwa wamebeba marungu kwa kutaka kumshabulia kijana huyo lakini bado Mungu alikuwa pamoja naye, kwa bahati mzuri amepata wasamaria wema na wamemuhifadhi ndio iliyokuwa salama yake.
Picha:
Kijana aliyesingiziwa kuwa ni mwizi
Hawa ni baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo
Hii ndio sehemu aliyokimbilia aliyemsingizia mwenzake
kuwa ni mwizi.
By Abdur-Rahman Swaleh- KIMANGA INTERNET CAFE.DSM
Nina watakia Mchana mwema
No comments:
Post a Comment