Dr Shein akimuapisha jaji wa mahakama kuu Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuapisha Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Abdulhakim Ameir
Issa,kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo
Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment