Maalim Seif akitia saini kitabu cha maombolezi ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa India.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitia
saini kitabu cha maombolezi katika Ubalozi mdogo wa India uliopo
Migombani Zanzibar, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa 12 wa
nchi hiyo marehemu Inder Kumar Gujral (pichani).
Marehemu Inder Kumar Gujral alikuwa Waziri Mkuu wa India kuanzia mwezi April 1997 hadi March 1998. Alizaliwa Disemba 4, 1919 na kufariki Novemba 30, 2012. Kulia ni Naibu Balozi mdogo wa India aliyepo Zanzibar D.J.Mohan Rao.

No comments:
Post a Comment