Tuesday, December 4, 2012

Matokeo ya maoni juu ya katiba mpya asubuhi ya leo huko katika shehia ya bweleo.


Wananchi wa shehia ya bweleo wakitoa maoni yao juu ya katiba mpya
Wananchi wa shehia ya bweleo wakitoa maoni yao juu ya katiba mpya,
Wananchi waliotaka Zanzibar huru yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa ikifuatiwa na muungano wa mkataba ni 39. Na kwa upande wawananchi waliotaka mfumo huu uliopo wa muungano uendelee kama ulivo ni 24.
Na wananchi wasiofahamika utowaji wao wa maoni ni 3

No comments:

Post a Comment