Mmoja kati ya wafanyakazi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendelo ya Vijana Wanawake na Watoto Pemba, Mwanaisha Ali Massoud, akimwangalia mtoto mchanga, aliyetupwa na mama yake mzazi baada ya kuzaliwa huko Tumbe Kaliwa, wilaya ya micheweni, na kuokotwa na wasamaria wema Picha na Abdull Suleiman
No comments:
Post a Comment