Wanamgambo wa al-Shabaab wamewakamata maulamaa 100 katika mji wa El
Dheer mkoani Galgadud kwa tuhuma za kukataa kuwaandikisha wapiganaji,
iliripoti Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa hapo Ijumaa
(tarehe 4 Januari).
Waliokamatwa ni pamoja na walimu wa Qur'an na mashekhe wa eneo hilo.
Mkuu wa wWlaya anayeishi uhamishoni Hussein Mohamed alisema kwamba maulamaa hao wanashikiliwa kwenye kambi ya wanamgambo mjini huko.

No comments:
Post a Comment